‏ Proverbs 11:9


9 aKwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu
humwangamiza jirani yake,
bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.
Copyright information for SwhNEN