‏ Proverbs 1:27-28

27 awakati janga litawapata kama tufani,
wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli,
wakati dhiki na taabu zitawalemea.

28 b“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu;
watanitafuta lakini hawatanipata.
Copyright information for SwhNEN