‏ Numbers 31:1-3

Kulipiza Kisasi Juu Ya Wamidiani

1 Bwana akamwambia Mose, 2 a“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.”

3 bKwa hiyo Mose akawaambia watu, “Waandaeni baadhi ya wanaume wenu waende vitani kupigana na Wamidiani ili wawalipize kisasi cha Bwana.
Copyright information for SwhNEN