‏ Numbers 3:17-20

17 aHaya yalikuwa majina ya wana wa Lawi:
Gershoni, Kohathi na Merari.
18 bHaya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni:
Libni na Shimei.
19 cKoo za Wakohathi zilikuwa ni:
Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
20 dKoo za Wamerari zilikuwa ni:
Mahli na Mushi.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.

Copyright information for SwhNEN