‏ Numbers 24:7

7 aMaji yatatiririka kutoka ndoo zake;
mbegu yake itakuwa na maji tele.

“Mfalme wake atakuwa mkuu kuliko Mfalme Agagi;
ufalme wake utatukuka.
Copyright information for SwhNEN