‏ Numbers 21:3

3 aBwana akasikiliza ombi la Waisraeli, naye akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Wakawaangamiza kabisa na miji yao; hivyo mahali pale pakaitwa Horma.
Horma maana yake Maangamizi.


Copyright information for SwhNEN