‏ Numbers 21:13-14

13 aWakasafiri kutoka hapo na kupiga kambi kando ya Mto Arnoni, ambao uko katika jangwa lililoenea hadi nchi ya Waamori. Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori. 14 bNdiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema:

“…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde
ya Arnoni,
Copyright information for SwhNEN