‏ Numbers 17:7-8

7 aMose akaziweka hizo fimbo mbele za Bwana ndani ya Hema la Ushuhuda.

8 bSiku iliyofuata Mose aliingia kwenye Hema la Ushuhuda akaona ile fimbo ya Aroni ambayo iliwakilisha jamaa ya Lawi haikuwa tu imechipuka, bali pia ilikuwa imetoa machipukizi, kuchanua maua na kuzaa malozi.
Copyright information for SwhNEN