‏ Numbers 17:12-13

12 aWaisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea! 13 bYeyote akaribiaye Maskani ya Bwana atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”

Copyright information for SwhNEN