Numbers 15:6
6 a“ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa ▼▼Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo 2.
za unga laini uliochanganywa na theluthi moja ▼▼Theluthi moja ya hini ni sawa na lita moja na nusu.
ya hini ya mafuta,
Copyright information for
SwhNEN