‏ Numbers 15:17-19

17 Bwana akamwambia Mose, 18 a“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapeleka 19 bnanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa Bwana.
Copyright information for SwhNEN