Numbers 13:4-16
4Haya ndiyo majina yao:kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri;
5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
6 akutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune;
7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;
8 bkutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni;
9kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu;
10kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi,
11kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi;
12kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemali;
13kutoka kabila la Asheri, Sethuri mwana wa Mikaeli;
14kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi;
15kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki.
16 cHaya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)
Copyright information for
SwhNEN