‏ Numbers 1:5-16

5 aHaya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia:

“kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri;
6 bkutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;
7 ckutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu;
8 dkutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari;
9 ekutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni;
10 fkutoka wana wa Yosefu:
kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi;
kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
11 gkutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
12 hkutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai;
13 ikutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani;
14 jkutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli;
15 kkutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.”

16 lHawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli.


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.