Numbers 1:5-15
5 aHaya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia:“kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri;
6 bkutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;
7 ckutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu;
8 dkutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari;
9 ekutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni;
10 fkutoka wana wa Yosefu:
kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi;
kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
11 gkutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
12 hkutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai;
13 ikutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani;
14 jkutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli;
15 kkutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.”
Copyright information for
SwhNEN