‏ Nehemiah 9:1

Waisraeli Waungama Dhambi Zao

1 aKatika siku ya ishirini na nne ya mwezi ule ule, Waisraeli walikusanyika pamoja, wakifunga na kuvaa nguo za gunia na kujitia mavumbi vichwani mwao.
Copyright information for SwhNEN