‏ Nahum 3:17

17 aWalinzi wako ni kama nzige,
maafisa wako ni kama makundi ya nzige
watuao kwenye kuta wakati wa siku ya baridi:
lakini wakati jua linapotokea wanaruka kwenda zao,
na hakuna ajuaye waendako.
Copyright information for SwhNEN