‏ Micah 2:13

13 aYeye afunguaye njia atawatangulia;
watapita kwenye lango na kutoka nje.
Mfalme wao atawatangulia,
Bwana atakuwa kiongozi.”
Copyright information for SwhNEN