‏ Matthew 9:9

Kuitwa Kwa Mathayo

(Marko 2:13-17; Luka 5:27-32)

9 aYesu alipokuwa akienda kutoka huko, alimwona mtu mmoja jina lake Mathayo akiwa ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate.” Mathayo akaondoka, akamfuata.

Copyright information for SwhNEN