‏ Matthew 9:35

Watendakazi Ni Wachache

35 aYesu akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi.
Copyright information for SwhNEN