‏ Matthew 5:27-28

Kuhusu Uzinzi

27 a “Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ 28 bLakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Copyright information for SwhNEN