Matthew 27:9-10
9 aNdipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli, 10 bwakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.”
Copyright information for
SwhNEN