‏ Matthew 26:67-68

67 aKisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi 68 bna kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?”

Copyright information for SwhNEN