‏ Matthew 26:14-16

Yuda Akubali Kumsaliti Yesu

(Marko 14:10-11; Luka 22:3-6)

14 aKisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani 15 bna kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha. 16 cTangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu.


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.