Matthew 24:3
Ishara Za Nyakati Za Mwisho
(Marko 13:3-23; Luka 21:7-24)
3 aYesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?”
Copyright information for
SwhNEN