‏ Matthew 23:35-36

35 aHivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Abeli, ambaye alikuwa hana hatia, hadi damu ya Zekaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu. 36 bAmin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki.

Copyright information for SwhNEN