‏ Matthew 21:18-19

Mtini Wanyauka

(Marko 11:12-14, 20-24)

18 aAsubuhi na mapema, Yesu alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa. 19 bAkauona mtini kando ya barabara, naye akaukaribia, lakini hakupata tunda lolote ila majani. Ndipo akauambia, “Wewe usizae matunda tena kamwe!” Papo hapo ule mtini ukanyauka.

Copyright information for SwhNEN