Matthew 18:28
28 “Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari ▼▼ Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja.
mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’
Copyright information for
SwhNEN