‏ Matthew 10:37-38

37 a “Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. 38 bTena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.
Copyright information for SwhNEN