Matthew 10:29-31
29Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. 30 aHata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. 31 bHivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Copyright information for
SwhNEN