‏ Mark 9:38

Yeyote Asiye Kinyume Nasi Yuko Upande Wetu

(Luka 9:49-50)

38 aYohana akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako, nasi tukamkataza, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”

Copyright information for SwhNEN