‏ Mark 7:6-7

6 aYesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa:

“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami.
7 b Huniabudu bure,
nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Copyright information for SwhNEN