Mark 6:3-4
3 aHuyu si yule seremala, mwana wa Maria? Na ndugu zake si Yakobo, Yose, ▼▼Yosefu kwa Kiyunani ni Joses.
Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?” Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini. 4 cYesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”
Copyright information for
SwhNEN