‏ Mark 4:1

Mfano Wa Mpanzi

(Mathayo 13:1-9; Luka 8:4-8)

1 aYesu akaanza kufundisha tena kando ya bahari. Umati wa watu uliokuwa umekusanyika kumzunguka ulikuwa mkubwa, kiasi kwamba ilimbidi Yesu aingie kwenye mashua iliyokuwa baharini na kuketi humo, nao watu wote walikuwa ufuoni mwa bahari.
Copyright information for SwhNEN