‏ Mark 3:28-29

28 aAmin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. 29 bLakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”

Copyright information for SwhNEN