‏ Mark 3:13-15

Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili

(Mathayo 10:1-4; Luka 6:12-16)

13 aYesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. 14 bAkawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri 15 cna kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.