Mark 12:28
Amri Iliyo Kuu
(Mathayo 22:34-40; Luka 10:25-28)
28 aMwalimu mmoja wa sheria akaja, akawasikia wakijadiliana. Akiona kwamba Yesu amewajibu vyema, naye akamuuliza, “Katika amri zote, ni ipi iliyo kuu?”
Copyright information for
SwhNEN