‏ Malachi 3:8-9

8 a“Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia mimi.

“Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna gani?’

“Mnaniibia zaka na dhabihu.
9 bMko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Copyright information for SwhNEN