‏ Luke 9:7

Herode Afadhaika

(Mathayo 14:1-12; Marko 6:14-29)

7 aBasi Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za yote yaliyotendeka. Naye akafadhaika, kwa kuwa baadhi ya watu walikuwa wakisema Yohana Mbatizaji amefufuliwa kutoka kwa wafu.
Copyright information for SwhNEN