Luke 8:9-10
9 aWanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo. 10 bNaye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili,
“ ‘ingawa wanatazama, wasione;
ingawa wanasikiliza, wasielewe.’
Copyright information for
SwhNEN