‏ Luke 7:48-49

48 aKisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”

49 bLakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?”

Copyright information for SwhNEN