Luke 6:24-26
24 a “Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri,kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu.
25 b Ole wenu ninyi mlioshiba sasa,
maana mtaona njaa.
Ole wenu ninyi mnaocheka sasa,
maana mtaomboleza na kulia.
26 c Ole wenu watu watakapowasifu,
kwani ndivyo baba zao walivyowasifu
manabii wa uongo.
Copyright information for
SwhNEN