‏ Luke 4:20

20 aKisha akakifunga kitabu, akamrudishia mtumishi na akaketi. Watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.
Copyright information for SwhNEN