‏ Luke 3:12-13

12 aWatoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?”

13 bAkawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.”

Copyright information for SwhNEN