‏ Luke 23:46

46 aYesu akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.

Copyright information for SwhNEN