Luke 22:63-65
Walinzi Wamdhihaki Yesu Na Kumpiga
(Mathayo 26:67-68; Marko 14:65)
63 a bWatu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga. 64Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” 65 cWakaendelea kumtukana kwa matusi mengi.
Copyright information for
SwhNEN