Luke 20:20
Kumlipa Kaisari Kodi
(Mathayo 22:15-22; Marko 12:13-17)
20 aKwa hiyo wakawa wanamchunguza na kutuma wapelelezi waliojifanya kuwa wenye haki ili wapate kumtega kwa maneno asemayo, ili wamtie katika uwezo na mamlaka ya mtawala.
Copyright information for
SwhNEN