Luke 2:10-12
10 aLakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote. 11 bLeo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo ▼▼Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
Bwana. 12 dHii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.”
Copyright information for
SwhNEN