‏ Luke 18:38-39

38 aAkapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”

39 bWale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”

Copyright information for SwhNEN