‏ Luke 13:18-19

Mfano Wa Punje Ya Haradali

(Mathayo 13:31-32; Marko 4:30-32)

18 aKisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? 19 bUmefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.”

Copyright information for SwhNEN