‏ Luke 12:57-59

57 “Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki? 58 aUwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani. 59 bNakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”

Copyright information for SwhNEN